Beki Simba: Saido ni Habari Nyingine-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Beki Simba: Saido ni Habari Nyingine-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

BONIFACE Pawasa, beki wa zamani wa Simba, amesema kuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Saido Ntibazonkiza ni habari nyingine kwenye soka la Bongo kutokana na uwezo alionao.

 

Ntibazonkiza ni ingizo jipya ndani ya Yanga akiwa amecheza mechi mbili za Ligi Kuu Bara, amefunga bao moja na kutoa pasi tatu za mabao.

 

Mchezo wake wa kwanza ilikuwa dhidi ya Dodoma Jiji ambapo alifunga na kutoa pasi moja na mchezo wa pili ulikuwa ni dhidi ya Ihefu, hapo alitoa pasi mbili za mabao.

 

Akizungumza na Spoti Xtra, Pawasa alisema kuwa amemtazama nyota huyo kwenye mechi alizocheza na kugundua kwamba ni miongoni mwa usajili mzuri uliofanywa na Yanga kwa miaka ya hivi karibuni.“

 

Ntibazonkiza ni mchezaji mzuri, kwa aina yake ya uchezaji anaonekana kuwa imara kwa sababu hana uchoyo wa pasi na anajua kutengeneza nafasi, hivyo mabeki lazima wawe makini wanapokutana naye kwani muda wowote anaweza kubadili matokeo.“

 

Kuwa na mchezaji ambaye ana uwezo wa kubadili matokeo muda wowote ni hazina kwa timu. Ninaamini kwamba ikiwa hatapata majeraha kwa wakati huu kutakuwa na mengi ambayo atayafanya ndani ya uwanja,” alisema Pawasa

Stori: LUNYAMADZO MLYUKA, Dar es Salaam

The post Beki Simba: Saido ni Habari Nyingine appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.