Barcelona Yamvuruga Tena Messi-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Barcelona Yamvuruga Tena Messi-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

MSHAMBULIAJI wa Barcelona na Timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi amesema jaribio lake la kutaka kuondoka klabuni hapo ambalo liligonga mwamba katika dirisha la uhamisho lililopita liliathiri sana mchezo wake msimu.

 

Mwezi Agosti mwaka huu mshambuliaji huyo njota wa Argentina alisema anataka kutumia kifungu cha sheria katika mkataba wake ambacho kingemwezesha kuondoka katika klabu hiyo.

 

Lakini Barcelona ilikataa, ikisema kuwa malipo ya ada ya Yuro milioni 700 (£624m) lazima yaafikiwe.

“Nilivuta kila kitu hadi mwanzo wa msimu,” Messi, 33, aliambia kituo cha televisheni cha Kihispania cha La Sexta. Ukweli ni kwamba sasa sina neno, lakini dirisha la uhamisho lililopita ulikuwa wakati mbaya sana.”

 

Messi alifikia rekodi ya mchezaji mkongwe wa Brazil Pele ya kufunga magoli 643 ndani ya klabu kwa kuisawazishia Barcelona bao lililoiwezesha kutoka sare dhidi ya Valencia siku ya Jumamosi. Lilikuwa bao la tisa katika mechi 17 za Barcelona, ambao wako nafasi ya tano katika La Liga.

 

Messi, ambaye anaweza kuondoka Barcelona bila malipo mkataba wake utakapokamilika mwisho wa msimu huu, anaweza kujadiliana na klabu nyingine kuanzia Januari mosi.

 

Rais wa mpito wa Barcelona Carlos Tusquets, ambaye alichukuwa nafasi ya uongozi wa klabu hiyo hadi uchaguzi utakapofanywa mwezi Januari baada ya Josep Maria Bartomeu kujiuzulu Oktoba, amesema “kulingana na tathmini ya kifedha ” Messi angekuwa ameuzwa katika dirisha la uhamisho lililopita.

 

Wachezaji wa Barcelona walikubali kupunguziwa marupurupu mwezi Novemba ili kuwawezesha washindi hao mara 26 wa taji la La Liga kuokoa Yuro milioni 122 (£110m).

 

“Kwa sasa najihisi vyema na natarajia kukabiliana vilivyo kushinda katika kila shindano lililopo mebele yetu. Nafahamu klabu inakabiliwa na hali ngumu kwa sasa katika ngazi ya usimamizi, uwanjani na kila kitu kinachozunguka Barca kwa sasa ni kigumu , lakini najihisi mwenye furaha,” alisema Messi.

The post Barcelona Yamvuruga Tena Messi appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.