MSHAMBULIAJI Mcameroon wa Azam FC, Alain Thierry Akono Akono amejiunga na klabu ya Negeri Sembilan ya Malaysia.
Taarifa ya Azam FC kwa vyombo vya Habari leo imesema kwamba, wamefanikiwa kumuuza mchezaji huyo baada ya nusu msimu wa kuwa naye.
Akono alijiunga na Azam FC mwanzoni mwa msimu huu akitokea klabu ya AS Fortuna ya Cameroon kwa mkataba wa miaka miwili.
Akono anakuwa mchezaji wa tatu kuuzwa na Azam FC msimu huu baada ya kiungo Novatus Dissmas aliyejiunga na Maccabi Tel-Aviv ya Israel na mshambuliaji Shaaban Idd Chilunda aliyejiunga na Moghreb Atletic Tetouan Morocco ya Morocco.
Pamoja na hayo, Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Azam FC, Thabit Zakaria 'Zaka Zakazi' amesema klabu itafanya usajili kabla ya dirisha dogo kufungwa.

Je wajua!!!???
Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com
kwa taarifa zaidi.
No comments:
Post a Comment