Azam FC Yaingilia Dili La Kiungo Yanga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Azam FC Yaingilia Dili La Kiungo Yanga-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

IMEBAINIKA kuwa klabu ya Azam FC nayo imeingilia dili la kiungo Issa Ndala wa Plateau United mwenye uraia wa Nigeria ambaye anahusishwa kujiunga na Yanga kupitia dirisha hili dogo la usajili.

 

Ndala ambaye anacheza katika sehemu zote za kiungo wa kati yaani kiungo mkabaji na kiungo mshambuliaji amekuwa gumzo hapa nchini kutokana na kuonyesha kiwango katika mchezo dhidi ya Simba ambao ulikuwa wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

 

Akizungumnza na Championi Jumamosi, mchezaji huyo alisema kuwa, ukiachana na Yanga ambao wapo kwenye maongezi nae pia klabu ya Azam imemtafuta kuulizia masuala ya usajili wake wa kujiunga na timu hiyo.“

 

Nimekuwa nikizungumza na Yanga ambao wao ndio walikuwa wa kwanza kunitafuta mara tu baada ya kumalizika kwa mchezo wetu wa marudiano dhidi ya Simba wakati nilipokuja huko Tanzania, ukiachana na Yanga kuna timu pia inaitwa Azam ambao viongozi wao wamenitafuta kwa ajili ya mzungumzo wakiwa wanahitaji huduma yangu.“

 

Mpaka sasa hatujakubaliana na timu yoyote ila timu zote zimeonyesha nia ya kuhitaji huduma yangu, kwa sasa ni ngumu kusema kuwa nitaenda wapi kati ya Yanga na Azam lakini nipo tayari kucheza soka nchini Tanzania kama kutakuwa na dili zuri la usajili,” alisema mchezaji huyo.

Stori: Marco Mzumbe,Dar es Salaam

The post Azam FC Yaingilia Dili La Kiungo Yanga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.