-->

Type something and hit enter

On
Baada ya Vanessa Mdee, mwimbaji Yemi Alade anaongezeka kwenye orodha ya wasanii wa Kike ambao wanakitupia lawama kiwanda cha muziki pamoja na biashara nzima.

Kwenye ukurasa wake wa twitter, Yemi Alade ameandika "Biashara ya muziki ni ngumu sana, hakuna mtu anayetaka kukufurahia hadi unapoanza kupata mafanikio. Ninaomba tutieni nguvu, sio rahisi." ameandika Yemi Alade ambaye ni miongoni mwa waimbaji nyota wa Kike barani Afrika.Click to comment
 
Blog Meets Brand