-->

Type something and hit enter

On
 


 BAADA ya kikosi cha Yanga kumalizana na Simba Novemba 7 Uwanja wa Mkapa kwa sare yakufungana bao 1-1 na wachezaji kupewa mapumziko kesho Novemba 12 wanatarajiwa kurejea kambini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kirafiki dhidi ya African Lyon.


Mchezo huo wa kirafiki unatarajiwa kuchezwa Novemba 15, Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku.

Pakua App MPYA ya 'EDUSPORTSTZ NEWS-(Lite Version)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Mchezo huo wa kirafiki ni maalumu kwa ajili ya kukiweka fiti kikosi hicho ambacho kinawania ubingwa wa Ligi Kuu Bara kikiwa nafasi ya pili na pointi 24 . 

Hafidh Saleh, Meneja wa Yanga amesema kuwa kila kitu kipo sawa na kesho wanatarajia kuanza maandalizi kwa mchezo huo.


"Kila kitu kipo sawa, wachezaji wataripoti kambini kesho na kuanza maandalizi ya mchezo wetu wa kirafiki, mashabiki wajitokeze kwa wingi," amesema

Click to comment
 
Blog Meets Brand