-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Yanga inashuka uwanjani leo Novemba 3, 2020  kuivaa Gwambina  katika mchezo wa kusaka kujiamini zaidi kwa mchezo ujao dhidi ya watani zao, Simba.

 

Usindi wa Yanga leo  katika Uwanja wa Gwambia utaifanya timu hiyo kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu kwa raha zaidi licha ya sare pia inaweza kuwapa uongozi hadi matokeo ya Azam FC dhidi ya Dodoma Jiji.

 

Wageni hao wa Ligi Kuu, Gwambina watatakiwa kuwa makini na nyota wa kigeni wa Yanga, ambao wameonyesha kuwa mwiba mkali katika kufumania nyavu, kwani ni kipa pekee, Farouk Shikalo, ambaye hajafunga.

ANGA Kulikoni, KILA Mechi GOLI 1, Hii SIMBA Ilikutana na MWADUI GANI? | ROUND UP

The post Yanga Kukiwasha na Gwambina FC Mwanza leo appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand