Watu 30 wafariki kwa ugonjwa usiojulikana nchini Nigeria - EDUSPORTSTZ

Latest

Watu 30 wafariki kwa ugonjwa usiojulikana nchini NigeriaWatu 30 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na ugonjwa wa kushangaza usiojulikana uliozuka wiki moja katika mkoa wa Delta nchini Nigeria.

Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya kitaifa, iliarifiwa kuwa ugonjwa huo usiojulikana ulisababisha watu 30 kufariki katika maeneo ya Ute Okpu na Idumusa ndani ya wiki moja.

Viongozi wa mkoa huo pia walitoa maelezo na kubainisha kwamba watu waliofariki walikuwa vijana wenye umri wa kati ya miaka 18-25. 

Viongozi waliongezea kusema kuwa utafiti unaendelea ili kugundua chanzo halisi cha vifo huku wakifahamisha kwamba kabla ya kufariki, watu hao walionyesha dalili za kutapika damu, udhaifu wa hali, maumivu ya mwilii na kichwa. 

Miezi 5 iliyopita, watu wapatao 1000 pia walipoteza maisha kutokana na ugonjwa wa kushangaza usiojulikana nchini humo. Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.