Ujumbe maalamu kwa wasaka mafanikio. - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Ujumbe maalamu kwa wasaka mafanikio.


 Ukiona kuna mtu ana muda mwingi sana wa kufuatilia unachokifanya na siku zote anakuja na mawazo hasi tu na wala hujamwajiri afanye hivyo basi ujue tu huyu Ameshapoteza Muelekeo wa Maisha Yake Mwenyewe.


Huo ndio ukweli kama yeye Maisha yake hana muda nayo ndio anapata muda wa kufuatilia Maisha yako maana yake yeye ameshayapoteza Maisha yake. Usitegemee ushauri wake utafaa kwa chochote kwasababu angekuwa mtu anaejielewa huo muda wa kukufuatilia kila unachokifanya angeuwekeza kwenye Maisha yake binafsi.

Hivi unajua kwamba mtu aliekutangulia mbele yako sio rahisi sana awe anakuona unavyokuja nyuma yake? Na kama ni hivyo ukiona anatumia muda mwingi kukufuatilia wewe ulieko nyuma yake na kukuzuia basi ujue ameshakuogopa anahisi utakuja kumpita na kumuacha. Sasa cha ajabu ni kwamba kila mtu ana Maisha yake na malengo yake. Mtu akikupita haikupunguzii wewe chochote.

Kamwe usikubali Maneno ya watu wa aina hii yakupotezee kasi na mwelekeo wako katika kuyatimiza malengo yako na maono yako makubwa. Hawa ni watu waliokata tamaa au wanaoogopa yale mambo makubwa ambayo unataka kuyafanya.

Usikatishwe tamaa na mtu aliekata tamaa. Usirudishwe nyuma na mtu alieko nyuma yako. Songa mbele watazame wale ambao wameshakutangulia usiwatazame wale ambao walishindwa. Muda wako ni thamani sana usije kuutumia kujali walioshindwa wamesema nini juu yako.

Rafiki yangu nataka ukumbuke kwamba yeyote anaepoteza muda wake kukuzuia basi hana mwelekeo wa Maisha yake, ni muoga, anahisi utakuja kumpita Kumbe wewe hata hushindani na mtu mwingine, anajaribu kukuvuta ufanane nae.

Kama yote hayo ni hivyo kwanini ujali? Kwanini uumie eti kisa kuna mtu mmoja anataka kukukwamisha wakati umeshajua huyu ameshayasahau Maisha yake anatumia muda mwingi kuangalia Maisha ya wengine? Bila kujali ni nani kwako usipoteze muda wako kuumia maana utakosa mwelekeo katika mambo yako ya muhimu.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz