-->

Type something and hit enter

On 


Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza kunyesha kwa Mvua kubwa leo (Novemba 24) katika Mikoa ya Dar es Salaam, Lindi na Pwani na kuwataka wananchi wa maeneo hayo kuchukua tahadhari

Taarifa ya TMA na Utabiri wa siku 5 inasema mvua ya leo inaweza kusababisha athari mbalimbali pamoja na baadhi ya makazi kuzungukwa na maji na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi.Click to comment
 
Blog Meets Brand