-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

Wachezaji wa Chelsea wakimpongeza mwenzao, Timo Werner baada ya kufunga mabao mawili yote kwa penalti dakika ya 10 na 41, kabla ya Tammy Abraham kufunga la tatu dakika ya 50 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Rennes kwenye mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge, London. Kwa ushindi huo, Chelsea inafikisha pointi saba sawa na Sevilla na kuendelea kuongoza kundi wakifuatiwa na Krasnodar na Rennes zenye pointi moja kila moja baada ya timu zote nne kucheza mechi tatu
 


Click to comment
 
Blog Meets Brand