-->

Type something and hit enter

On
Leo Tigo na Diamond Platnumz kupitia Wasafi FM wameungana kufanya kazi nafasi ambayo miaka ya nyuma ilikuwa kwa Clouds FM Tigo Akishirikiana nao katika maandalizi ya Matamasha ya Fiesta...

Wasafi katika Mona ya Posts zao wameandika haya hapa chino:

Reposted from @wasafifm Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Nasib Abdul @diamondplatnumz, akizungumza na Waandishi wa Habari katika Hafla ya Uzinduzi Rasmi wa #TumewashaNaTigo Tour 2020 .

Habari Ikufikie Kuwa , #TumewashaNaTigo 2020 itaanzia Rasmi Mkoani KAHAMA ! ⚡️

#TumewashaNaTigo2020 Powered by: @tigo_tanzania & @pepsi_tz


Click to comment
 
Blog Meets Brand