-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

Mchezaji wa timu ya taifa ya wasichana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17, Shehat Mohamed akiwa ameshika tuzo ya mchezaji bora wa mechi dhidi ya Zimbabwe ya michuano ya COSAFA iliyochezwa jana. Katika mechi hiyo ambayo Tanzania ilishinda mabao 10-1, Shehat alifunga mabao mawiliClick to comment
 
Blog Meets Brand