-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars beki Mohammed Hussein 'Tshabalala' na kiungo Farid Mussa (kushoto) wakiwa kwenye mazoezi jana katika kambi yao ya Istanbul nchini Uturuki kujiandaa na mchezo wa Kundi J kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya wenyeji, Tunisia Ijumaa mjini Tunis.


Kutoka kulia ni kiungo Said Ndemla, beki Bakari Mwamnyeto na winga Simon Msuva

Kutoka kulia kipa Juma Kaseja, beki Shomari Kapombe na viungo Himid Mao na Deus Kaseke 

Viungo Feisal Salum (kulia) na Jonas Mkude (kushoto) wakijadiliana na kocha Mrundi, Etienne Ndayiragije


Wachezaji wa Taifa Stars kwa pamoja wakisikiliza mawaidha ya kocha wao kabla ya mazoezi

Click to comment
 
Blog Meets Brand