-->

Type something and hit enter

On 


Ni Novemba 13, 2020 ambapo wananchi waishio nchini Zimbabwe mjini Harare waliweza kuuwaga mwili wa mpendwa wao, sasa taharuki iliyotoka huko leo ni baada ya gari lake lingine aina ya Ferrari lililokuwa likiendeshwa na rafiki yake kutaka kuwaka moto barabarani.

Pakua App MPYA ya 'EDUSPORTSTZ NEWS-(Lite Version)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Gari hilo lilikuwa kwenye msafara wa kuelekea mahali ambapo palikuwa pakifanyika shughuli za kuuwaga mwili wa Ginimbi huko Harare nchini Zimbabwe


Itazame hii video hapa ujionee kila kitu kuanzia watu walivyoaga mpaka gari hilo kutoka kuwaka motoClick to comment
 
Blog Meets Brand