SIMBA YABANWA MBAVU KWA MKAPA NA YANGA, YAAMBULIA POINTI MOJA - EDUSPORTSTZ

Latest

SIMBA YABANWA MBAVU KWA MKAPA NA YANGA, YAAMBULIA POINTI MOJA

 MABINGWA watetezi Simba chini ya Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck leo, Novemba 7 wamebanwa mbavu Uwanja wa Mkapa wakiwa na nyota wao namba moja Clatous Chama.

Yanga ilianza kupata bao la kwanza kupitia kwa Michael Sarpong dakika ya 31 kwa penalti baada ya Tusisila Kisinda kuchezewa faulo nje kidogo ya 18 na nyota Joash Onyango na mwamuzi Abdalah Mwinyi Mkuu kuamua ipigwe penalti kipindi cha pili.

Yanga kipindi cha pili walianza kwa kasi ila beki kisiki Lamine Moro alishindwa kumaliza dakika 90 baada ya kupata maumivu ya goti.

Nafasi yake ilichukuliwa na Said Juma ambaye alishuhudia bao la kwanza kwa Simba dakika ya 86 kwa pasi ya Luis Miquissone ambaye alikuwa ni mwiba kwa wapinzani.

Matokeo hayo yanaifanya Simba kubaki nafasi ya tatu ikiwa na pointi 20 huku Yanga ikiwa nafasi ya pili na pointi zake 24 na vinara ni Azam na pointi zao ni 25.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz