-->

Type something and hit enter

On
  Novemba 9, droo ya raundi ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika imefanyika nchini Cairo ambapo kwa Tanzania, Simba inaiwakilisha Tanzania Ligi ya Mabingwa Afika baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita.


Mabingwa kutoka Tanzania kwenye raundi ya awali watapambana na timu kutoa Nigeria inayoitwa Plateau United na mshindi kwenye mchezo huu atakutana na mshindi kati ya Costa do Sol ama FC Platinum.

 Timu ya Gormahia itakutana na APR na mshindi atakutana na CR Belouizdada ama AL Nasri.


Pakua App MPYA ya 'EDUSPORTSTZ NEWS-(Lite Version)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB


Sfaxien ya Tunisia itamenyana na Mapinduzi ya Zanzibar.


FC Nouadhibou v Asante Kontoko.


Buffels v MC Algers


Enyimba v Rahimo FC

AS Otoho v Al Merreikh

Costa do Sol v FC Platinu

Timu hizi hazitashiriki katika raundi ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika:-

Al Ahly na Zamalek za Misri

AS Vita na TP Mazembe za Congo

Esperance ya Tunisia

Horoya ya Guinea

Mamelond Sundowns ya Afrika Kusini.

Raja Casablanca na Wydad Casablanca za Morocco.

Click to comment
 
Blog Meets Brand