-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

SUALA la mabadiliko ndani ya Simba limeleta sura mpya baada ya Serikali kujibu mapigo ya viongozi wa timu hiyo ambao waliweka wazi kwamba wanakwamishwa na Serikali.

Simba kwa sasa ipo kwenye mchakato wa kuelekea kwenye mabadiliko ambao bado haijakamilika kutokana na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na viongozi wa timu hiyo kushindwa kukamilisha taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa Sheria.

Taarifa iliyotolewa leo Novemba 19 imeeleza namna hii:-

 

The post Serikali Yamkana Mo Dewji, Manara, Sakata la Mabadiliko Simba appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand