-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

KIUNGO wa kati wa Manchester United na Ufaransa, Paul Pogba, anasema kwa sasa anapitia kipindi kigumu sana cha kazi yake ya soka kutokana na muda wake wa mchezo katika Old Trafford.

Akifanyiwa mahojiano na kituo cha RTL. amesema kuwa; “Napitia kwenye wakati mgumu sana kuliko wakati wowote ule katika maisha yangu ya soka.  Timu ya taifa ndiyo imekuwa kama pumzi ya mimi kuja kupumlia huku, ni mahali pa safi, nafurahia zaidi, its magic.”

The post Pogba Asema Hana Furaha Man U appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand