-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

Kiungo wa kati wa Manchester United Paul Pogba amekubali kupokea lawama baada ya kucheza rafu dhidi ya mchezaji wa Arsenal, iliyosababisha penati ambayo iliamua matokeo ya mchezo huo wa ligi kuu ya England.

 

Pogba alinyanyua mguu uliomuangusha Hector Bellerin ndani ya eneo la hatari ambayo aliielezea kama “mjinga“, na Pierre-Emerick Aubameyang akafunga bao lililoipa ushindi The Gunners.

 

”Tunajua kwamba kilikuwa ni kiwango duni, mimi binafsi sikupaswa kucheza rafu ya aina ile. Nilidhani ningeugusa mpira lakini sikufanya hivyo. Sikupaswa kutoa adhabu mbaya kama hiyo,” amesema Pogba.

The post Pogba Akiri Kufanya Ujinga Man U appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand