-->

Type something and hit enter

On
Maelfu ya wakazi wa Harare, Ijumaa hii wamejitokeza barabarani kuutazama msafara mkubwa uliokuwa umebeba mwili wa mfanyabiashara wa Zimbabwe Genius “Ginimbi” Kadungure aliyefariki kwa ajali ya gari Jumapili iliyopita.


Pakua App MPYA ya 'EDUSPORTSTZ NEWS-(Lite Version)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Mazishi yake yanafanyika Jumamosi hii kwenye makazi yake ya DomboshavaClick to comment
 
Blog Meets Brand