-->

Type something and hit enter

On

TIMU ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes jana imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Sudan katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Mechi ya kwanza Ngorongoro pia ilishinda 2-1 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam 

Click to comment
 
Blog Meets Brand