Nandy, Zuchu na Daimond washinda tuzo za AFRIMMA - EDUSPORTSTZ

Latest

Nandy, Zuchu na Daimond washinda tuzo za AFRIMMAWaandaaji wa tuzo za AFRIMMA Usiku wa kuamkia Leo wametangaza Washindi wa Tuzo za AFRIMMA kwa Mwaka huu 2020, Master kg akishinda jumla ya tuzo 4 ikiwemo tuzo ya Msanii bora wa mwaka ( Artist of the Year) kwa mwaka huu 2020,

Wasanii kutoka Tanzania walioshinda Tuzo ni Diamond Platnumz ambaye Ameshinda tuzo ya Msaniii Bora wa kiume Afrika Mashariki


(Best Male East Africa), Zuchu tuzo ya Msanii Bora Anayechipukia (Best Newcomer) na Nandy ambaye Ameshinda tuzo ya Msanii Bora wa kike Afrika Mashariki (Best Female East Africa),


Pakua App MPYA ya 'EDUSPORTSTZ NEWS-(Lite Version)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB


Hii hapa List ya Washindi Mbalimbali wa Tuzo za AFRIMMA mwaka huu 2020


Best Male West Africa – Rema (Nigeria)


Best Female West Africa – Simi (Nigeria)


Best Male East Africa – Diamond Platnumz (Tanzania)


Best Female East Africa – Nandy (Tanzania)


Best Male Central Africa – Fally Ipupa (Drc)


Best Female Central Africa – Soraia Ramos (Cape Verde)


Best Male Southern Africa – Master Kg (South Africa)


Best Female Southern Africa – Sho Madjozi (South Africa)


Best African Group – Umu Ibiligbo (Nigeria)


Crossing Boundaries With Music Award – Burna Boy (Nigeria)


Best New Act– Zuchu (Tanzania)


Artist Of The Year – Master Kg (South Africa)


Best Gospel Artist – Mercy Chinwo (Nigeria)


Best Live Act – Flavour (Nigeria)


Best Male Rap Act – Nasty C (South Africa)


Best Female Rap Act – Eno Barony (Ghana)


Best Collaboration – Master Kg Ft Nomcebo Zikode & Burna Boy Jerusalema Remix


&t;p>Song Of The Year – Master Kg Ft Nomcebo Zikode – Jerusalema

Best Video Director – Tg Omori (Nigeria)


Best Dj Africa – Cuppy (Nigeria)


Best African Dj Usa – Fully Focus (Kenya)


Video Of The Year – Gaz Mawete Ft Fally Ipupa


Producer Of The Year – Kabza De Small (South Africa)


Best African Dancer – Poco Lee (Nigeria)


Best Lusophone – Calema (Cape Verde)


Best Francophone – Fally Ipupa (Drc)


Best Radio/Tv Personality – James Onen (Uganda)


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.