-->

Type something and hit enter

On 


Mwaka 1991 Nabii Daniel Abodunrin Raia wa Nigeria aliwaeleza watu kuwa kama ilivyoandikwa kwenye Bibilia kuwa Daniel aliingia kwenye zizi la simba na hakuliwa kwakuwa MUNGU aliwafunga midomo Simba hao, jamaa naye akaingia katikati ya simba, dakika moja nyingi aliliwa.Click to comment
 
Blog Meets Brand