MTIBWA SUGAR: MSIMU HUU USHINDANI NI MKUBWA - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MTIBWA SUGAR: MSIMU HUU USHINDANI NI MKUBWA


  THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2020/21 ni mkubwa jambo ambalo linalowapa matokeo ya tofauti ndani ya uwanja.

Kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Novemba Mosi dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Kaitaba Mtibwa Sugar iliyeyusha pointi tatu mazima kwa kufungwa mabao 2-1 .


Licha ya kuweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza kuitungua Azam FC ambao ni vinara wa Ligi Kuu Bara wakiwa na pointi 25 ilikwama kushinds mbele ya Kagera Sugar inayonolewa na Meck Maxme ambaye msimu huu mambo kwake ni magumu.


Akizungumza na Saleh Jembe, Kifaru amesema kuwa:"Ni ngumu kusema kwamba tumepoteana kwa sasa kwa kuwa ligi bado inaendelea na mechi ambazo tunazo ni nyingi.


"Bado kazi ipo hasa ukizingatia kwamba kila mchezaji ana morali kubwa ya kusaka ushindi ndani ya uwanja licha ya kwamba tunashindwa kupata matokeo.


"Ushindani kwa msimu huu ndani ya ligi ni mkubwa na huu ni mzuri kwa kuwa unafanya kila timu isijipe matumaini ya kupata matokeo kwenye mechi zake ikiwa haitafanya juhudi kusaka ushindi," amesema.


Jana pia Novemba 5, Mtibwa Sugar iliangusha pointi tatu nyingine mbele ya Coastal Union kwa kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, Moro.


Bao pekee la ushindi kwa Coastal Union lilipachikwa kimiani na Hamad Majimengi dakika ya 55 na kuwafanya wapoteze mchezo wa pili mfululizo ndani ya ligi.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz