-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

 Pakua App MPYA ya 'EDUSPORTSTZ NEWS-(Lite Version)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB


Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Difaa Hassan El-Jadidi ya Morocco, Simon Happygod Msuva akiwa na Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' baada ya kutembelea ofisi kuu za Azam FC, Mzizima zilizopo barabara ya Nyerere Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Msuva ni mchezaji aliyeibukia katika akademi ya Azam kabla ya kwenda Moro United na baadaye Yanga SC iliyomjengea umaarufu hadi kumuuza Morocco.

Beki wa Highlands Park FC ya Afrika Kusini, Abdi Banda akiwa na Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' baada ya kutembelea ofisi kuu za klabu hiyo, Mzizima zilizopo barabara ya Nyerere, Dar es Salaam wiki hiiClick to comment
 
Blog Meets Brand