-->

Type something and hit enter

On
 Shirikisho la soka la Misri (EFA) limetangaza kuwa mshambuliaji wao Mo Salah amekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona.

Pakua App MPYA ya 'EDUSPORTSTZ NEWS-(Lite Version)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Hii habari mbaya kwa timu ya Liverpool ambayo wachazeji wake muhimu ni majeruhi Joe Gomez, Fabinho, Virgil van Dijk, Thiago Alcantara na beki Trent Alexander-Arnold .

 

kwa wa mwendo huu Kocha J├╝rgen Klopp anakuwa kwenye wakati mgumu kuutetea ubingwa wa ligi kuu Uingereza kwa sababu ya majeruhi ya muda mrefu ya wachazajiwake ambayo wameyapata msimu huu.

Click to comment
 
Blog Meets Brand