Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
Lionel Messi akiwa mnyonge baada ya Barcelona kuchapwa 1-0 na Atletico Madrid, bao pekee la Yannick Carrasco dakika ya 45 na ushei kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Wanda Metropolitano Jijini Madrid. Kwa ushindi huo wa kwanza dhidi ya Barcelona ndani ya miaka 10, Atletico Madrid inafikisha pointi 20 baada ya kucheza mechi nane na kusogea nafasi ya pili, ikizidiwa wastani wa mabao na Real Sociedad inayoongoza. Barcelona inabaki na pointi zake 11 katika nafasi ya 10 baada ya kucheza mechi nane PICHA ZAIDI GONGA HAPA