-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Mohammed Dewji amefafanua hatua iliyofikia timu mpaka sasa katika swala zima la mabadiliko ya kimfumo ambayo yataifanya kuwa kwenye mfumo wa hisa. Huku Mo akisema mchakato umefikia The Fair Competition Commission (FCC).

 Pakua App MPYA ya 'EDUSPORTSTZ NEWS-(Lite Version)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB


”Mchakato upo FCC, sisi kama Simba tumemaliza kutoa document zote, tunawaongejea wao watupe muelekeo, tunangojea hilo kwa hiyo halipo mikononi mwetu,” Mo Dewji.

 

The post Mchakato Mabadiliko Simba Watua FCC – Video appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand