-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF),limeruhusu watazamaji kwenye mchezo wa kufuzu AFCON kati ya Tanzania na Tunisia utakaochezwa Novemba  17, 2020,  kwenye Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam.

 

CAF imeelekeza kuwa idadi ya watazamaji  watakaoingia kuwa ni asilimia 50 ya uwanja sababu ikiwa ni kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa COVID 19, TTF inawasiliana na serikali ili kukidhi matakwa ya CAF katika mechi hiyo.

 

Mechi ya kwanza dhidi ya Tunisia itachezwa Novemba 13, jijini Tunis.

The post Mashabiki 30,000 Waruhusiwa Kuiona Stars na Tunisia appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand