-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

 

ALIYEKUWA mchawi wa soka wa Argentina, Diego Maradona, amefanyiwa upasuaji wa ubongo huko La Plata Buenos Aires ambapo kwa mujibu wa daktari wake upasuaji huo umefanikiwa na anaendelea vizuri.

 

Awali alipelekwa hospitali kwa shida ya upungufu wa damu na baadaye kugundulika kuwa na tatizo kwenye ubongo wake.

 

Maradona ambaye aliiongoza Argentina kushinda Kombe la Dunia mwaka  1986, atakuwa anatimiza umri wa miaka 60 ifikapo Novemba 6, mwaka huu.

 

Nyota huyo aliyechezea vilabu mbalimbali duniani, anakumbukwa sana na Waingereza baada ya kuwafunga goli akitumia mkono kwenye ushindi wa 2-1 kwenye Kombe la Dunia mwaka 1986.

 

The post Maradona Afanyiwa Upasuaji wa Ubongo appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand