Mapozi ya Tafakuri za Kocha wa Simba Jana Kabla na Baada ya Mechi-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Mapozi ya Tafakuri za Kocha wa Simba Jana Kabla na Baada ya Mechi-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

KOCHA wa Simba, Sven Vandenbroeck  jana alinaswa na paparazi wetu akiwa katika mapozi tofauti kabla na baada ya mechi dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga. Amakweli dabi ya watani hao si mchezo na ni mara chake mno ikapita bila kusababisha vibarua vya watu kuota nyasi upande utakozidiwa maarifa. Dabi hiyo ilimalizika kwa sare ya bao 1-1.

Baada ya mechi kumalizika.                                                             HABARI PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS /GPL

The post Mapozi ya Tafakuri za Kocha wa Simba Jana Kabla na Baada ya Mechi appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz