-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

Edin Visca (kulia) akimtungua kipa wa Manchester United, Dean Henderson kuwapatia wenyeji, Istanbul Basaksehir bao la pili dakika ya 40 kufuatia Demba Ba kufunga la kwanza dakika ya 12 katika ushindi wa 2-0 kwenye mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Basaksehir Fatih Terim Jijini ─░stanbul. Pamoja na kipigo hicho, Man United wanaendelea kuongoza kundi kwa pointi zao sita, sawa na RB Leipzig wote wakifuatiwa na PSG na Istanbul Basaksehir zenye pointi tatu kila moja baada ya timu zote kucheza mechi tatu
 

 Click to comment
 
Blog Meets Brand