Man U Kumfukuza Ole, Pochettino Atajwa - EDUSPORTSTZ

Latest

Man U Kumfukuza Ole, Pochettino Atajwa

 KIBARUA  cha Kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, huenda kikaota nyasi kutokana na mfululizo wa matokeo yasioridhisha.  Hatua hiyO inakuja  ikiwa baada ya  jana usiku kutoka kupokea kichapo cha mabao 2-1  dhidi ya Istanbul Basaksehir kwenye ligi ya Mabingwa Ulaya.

Gazeti la The Mail limeripoti kuwa mabosi wa United wameanza mazungumzo na aliyekuwa kocha wa Totenham Hotspurs, Mauricio Pochettino, ili aokoe jahazi la timu hiyo ambalo linaonekana kuzama wakati Solskjaer ameishiwa mbinu za kuinusuru.

Pochettino ambaye yupo jijini London kwa wiki mbili sasa, hivi karibuni amenukuliwa akisema yupo mbioni kurudi kufundisha bila kutaja ni klabu gani atakayojiunga nayo.

United wana kazi ngumu ambapo Novemba 8 mwaka huu watakawavaa Everton kwenye mchezo wa Ligi Kuu England (EPL) na kama wakifungwa watajikuta wapo nafasi 17 kwenye msimamo wa ligi na hii kuonyesha kila dalili za Ole kufukuzwa.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz