-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

MECHI za hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa msimu huu 2020/21 zinaendelea kuchezwa kwenye viwanja mbalimbali.

Usiku wa jana Novemba 3 2020, zilichezwa jumla ya mechi nane na kushuhudia vipigo vizito.  Ni mechi  tatu pekee ndizo zimemalizika kwa ushindi wa magoli mengi ambapo ni mechi ya Shakhtar wakiwa nyumbani wamefungwa 0-6 na Mönchengladbach, RB Salzburg wakiwa nyumbani kwao wamefungwa 2-6 na Bayern Munich huku Liverpool nao wakiwa ugenini wameichapa Atalanta 5-0.

The post Liverpool Yaisambaratisha Atalanta Uefa Champions appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand