-->

Type something and hit enter

On
Msanii mkongwe kutokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Koffi Olomide amewasilia nchini usiku wa kuamkia leo toka nchini humo.

Akizungumza akiwa Uwanja wa Ndege, Koffi amewaambia Wanahabari kuwa amekuja Tanzania kwa ajili ya kufanya kazi za muziki na Diamond a atakuwepo hapa mpaka watakapozikamilisha.


Ikumbukwe huyu atakuwa ni msanii mwingine kutokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kufanya kazi na Diamond baada ya Fally Ipupa na Innoss’B.


Naye meneja wa Diamond Platnumz, #SallamSK kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema, wimbo wa wawili hao tayari hadi sasa ushakuwa-hit.


 Click to comment
 
Blog Meets Brand