KAGERA: Mtoto wa miaka mitatu anusurika kufa baada ya nyumba kuteketea kwa moto - EDUSPORTSTZ

Latest

KAGERA: Mtoto wa miaka mitatu anusurika kufa baada ya nyumba kuteketea kwa moto

 


Mtoto mwenye umri wa miaka mitatu, Okechi Onesphalis, mkazi wa eneo la Bunena, mkoani Kagera, amenusurika kifo baada ya nyumba aliyokuwa amelala kuteketea kwa moto jana jioni Novemba 8, 2020, akiwa ndani peke yake, wakati mama yake mzazi akiwa nje akiendelea na shughuli za utafutaji mali.

 

Wakizungumza na EATV wananchi wa eneo la Bunena katika Manispaa ya Bukoba kwa kushirikiana na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani humo, wameeleza kuwa walifanikiwa kuokoa maisha ya mtoto huyo aliyeachwa peke yake akiwa amelala.


Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo, wamesema kuwa mtoto huyo aliachwa na mama yake akiwa amelala na kuwa wakati nyumba hiyo ya kupangisha iliyokuwa na familia sita, wakati inaanza kuteketea hata majirani wa mama huyo hawakuwepo.


Kwa upande wake Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Kagera, Hamis Dawa, amesema kuwa mtoto huyo amepata majeraha ya moto na kukimbizwa hospitali ya rufaa ya mkoa, huku akiwatupia lawama wananchi kwa kuchelewa kutoa taarifa pindi ajali za moto zinapotokea.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.