-->

Type something and hit enter

On 


 Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia kijana mmoja anayetambulika kwa jina la Nchagwa Sasi (18) Mkazi wa Kijiji cha Malenga katika Wilaya ya Serengeti kwa kosa la kumuua Kegoka Mwikabe (20) baada ya marehemu kumfukuza kwenye harusi ya rafiki yao kutokana na kutokuwa na zawadi.

“Tumemkamata Mchagwa ambaye ni mkulima kwa kosa la mauaji, awali wawili waliudhuria sherehe, huyu marehemu alikuwa anasimamia kamati ya Vijana wenzake iliyokuwa inahusika na suala la kutoa zawadi, ndipo walibaini mshatakiwa hakuwa na zawadi, ndipo Marehemu alipoamua kumtoa nje” RC MaraClick to comment
 
Blog Meets Brand