-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

Erling Haaland akishangilia na Jadon Sancho baada ya wote kuifungia Borussia Dortmund katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Club Brugge kwenye mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Signal-Iduna-Park. Haaland alifunga mawili dakika ya 18 na 60, wakati Sancho alifunga dakika ya 45
 


Click to comment
 
Blog Meets Brand