-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

RAIS wa shirikisho la soka barani AfriKa (CAF), Ahmad Ahmad, amefungiwa kutojihusisha na soka  kwa miaka mitano na shirikisho la soka duniani (FIFA) kwa kosa la kukiuka maadili.

FIFA inasema Rais huyo amekiuka taratibu za kimaadili kwa matumizi mabaya ya ofisi pamoja na kutoa na kupokea zawadi kinyume na taratibu zinavyotaka.

Kwa maana hiyo Ahmad hatatea wadhifa wake kwenye uchaguzi mkuu ujao wa CAF utakaofanyika mwezi Machi mwakani.

The post FIFA Yamfungia Rais wa CAF Miaka 5 appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand