-->

Type something and hit enter

On 


Director @hanscana_ ni moja kati ya watu ambao hupenda kuongea na mashabiki zake kupitia instagram na kuruhusu mashabiki kumuuliza maswali.

Siku ya jana alitoa nafasi hiyo kwa mashabiki zake kwa mara nyingine tena,shabiki mmoja alimuuliza “Bado Unasimamia Waimbaji Katika Ile Lebo Ya Hanscana Brand” Na jibu la Hanscana lilikua ni “HAPANA NA SIRUDII NIMEKOMA”.

Tunafahamu msanii Marioo ni kati yawasanii waliokuwa wanasimamiwa na Hanscana Brand ila Kwa sasa hawafanyi kazi pamoja. Je ni nini kinamfanya Hanscana kujutia maamuzi ya kusimamia wasanii kwa herufi kubwa?majibu anayo @hanscana_Click to comment
 
Blog Meets Brand