-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Obrey Chirwa, amerejea baada ya kupata majeraha kwenye misuli ya mguu wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu uliochezwa Oktoba 20, mwaka huu kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya.

 

Azam FC ikiwa kwenye nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ikikusanya pointi 22 kabla ya mechi ya juzi Alhamisi, imeweza kufunga mabao 15, ambapo katika mabao hayo, Chirwa amefunga manne na kutoa asisti mbili.

 

Akizungumza na Championi Ijumaa, Ofisa Habari wa Azam FC, Thabit Zakaria ‘Zaka Zakazi’, amethibitisha kuwa Chirwa amerudi tayari akiwa amekwishamaliza mazoezi ya viungo yatakayomrudisha katika hali yake ya kawaida.

 

“Chirwa kweli amerudi na amekwi shamaliza mazoezi ya viungo baada ya Adam Adam tishio jipya ligi kuu mechi nihakikishe nafunga mabao mengi zaidi.”

 

Adam amewapiku John Bocco, Yusuph Mhilu na Meshack Abraham wenye mabao manne kila mmoja. kusumbuliwa na jeraha la nyama za kwenye misuli ya mguu akiwa kwenye mchezo wa Azam dhidi ya Ihefu.

 

“Kwa sasa ameweza kurudi katika hali yake ya uimara, tayari kwa mashambulizi katika kikosi, yatakayoifanya Azam FC ipate ubingwa msimu huu wa 2020/21 kwenye Ligi Kuu Bara,” alisema Zakaria.

 

Kutokana na majeraha aliyoyapata, Chirwa alishindwa kushiriki mechi mbili ambazo ni dhidi Mtibwa Sugar Oktoba 26 kwenye Uwanja wa Jamhuri, ambapo Mtibwa ilipata ushindi wa 1-0 na dhidi ya JKT Tanzania Oktoba 30 katika Uwanja wa Azam Complex ambapo matokeo yalikuwa 1-1.

MANJIRO LYIMO, Dar es Salaam

The post Chirwa Arudi Kivingine Azam appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand