-->

Type something and hit enter

On
 Rapa Cardi B ameitaka mahakama kujua kuwa yeye na mumewe Offset wameshamaliza tofauti zao na sasa wapo vizuri na ameamua kuzuia talaka hiyo kisheria.

Nyaraka za Cardi B  ziliwasilishwa huko Gergiakutupilia mbali ombi la talaka alilolianzisha mwezi septemba.

Hii inakuwa mara ya pili kwa Cardi B kubadirisha mawazo yake juu ya kuachana na Offset ingawa hakuandika nyaraka za  talaka mara ya kwanza.

Click to comment
 
Blog Meets Brand