Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
Nahodha wa Barcelona, Muargentina Lionel Messi akitafuta maarifa ya kuwatoka wachezaji wa Deportivo Alavés kwenye mchezo wa La Liga timu hizo zikitoka sare ya 1-1 jana Uwanja wa Mendizorroza. Luis Rioja alianza kuifungia Alaves dakika ya 31, kabla ya Antoine Griezmann kuisawazishia Barcelona dakika ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA