Aston Villa Wamdai Samatta Mabao 15 - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Aston Villa Wamdai Samatta Mabao 15


 IMEFAHAMIKA kuwa, mshambualiaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta anayekipiga kwa mkopo katika Klabu ya Fenerbahce ya Uturuki, anadaiwa mabao 15 na timu yake ya Aston Villa ikiwa anahitaji kurejea kwenye timu hiyo.

 

Samatta amejiunga na Fenerbahce kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea Aston Villa ambayo alijiunga nayo Januari, mwaka huu kwa mkataba wa miaka minne na nusu akitokea KRC Genk ya Ubelgiji.

 

Kabla ya JUZI Jumamosi kucheza dhidi ya Konyaspor, mshambuliaji huyo alikuwa amecheza mechi tano za Ligi Kuu ya Uturuki na kufanikiwa kufunga mabao mawili.


Pakua App MPYA ya 'EDUSPORTSTZ NEWS-(Lite Version)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

 

Akizungumza na Spoti Xtra, baba mzazi wa mshambuliaji huyo, mzee Ally Samatta, alisema mwanawe amepewa masharti na Aston Villa ya kufunga mabao 17 katika kipindi chake cha mkopo wa mwaka mmoja.

 

“Naongea naye sana lakini siwezi kumuuliza kwa nini siku hizi hafungi mabao kwani aliwahi kuniambia kinachotokea kwake huwa kinatokea kwa kila mchezaji, lakini anaendelea kupambana.

 

“Amefunga mabao mawili hadi sasa, ni jambo ambalo pengine halimpi furaha kwa sababu Aston Villa wamemtaka afunge mabao 17 katika kipindi chake cha mkopo ili waweze kumrudisha England, hivyo sasa anadaiwa mabao 15, ni yeye mwenyewe aweze kupambana kufanya mambo yawe mazuri,” alisema mzee Samatta.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz