-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

Mshambuliaji chipukizi, Joe Willock akishangilia na Bukayo Saka baada ya kuifungia Arsenal bao la nne dakika ya 88 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Molde FC usiku wa jana Uwanja wa Emirates Jijini London kwenye mchezo wa Kundi B UEFA Europa League. Mabao mengine ya Arsenal yalifungwa na Kristoffer Haugen dakika ya 45 na ushei, Sheriff Sinyan dakika ya 62 wote wakijifunga na Nicolas Pepe dakika ya 69 kufuatia Molde FK kutangulia kwa bao la Martin Ellingsen dakika ya 22
 
 


Click to comment
 
Blog Meets Brand