-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

Nyota wa timu ya taifa ya Tanzania ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Aisha Masaka jana alichaguliwa Mchezaji Bora wa mechi dhidi ya Afrika Kusini ya michuano ya COSAFA inayoendelea Nelson Mandela Bay

Katika mechi hiyo ambayo Tanzania ilishinda mabao 6-1, Aisha alifunga mabao matano


Click to comment
 
Blog Meets Brand