Wema Sepetu Atoa ya Moyoni Kuhusu Kukonda Kwake - EDUSPORTSTZ

Latest

Wema Sepetu Atoa ya Moyoni Kuhusu Kukonda KwakeMWIGIZAJI na aliyekuwa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu ameendelea kuchukizwa na baadhi ya mastaa wa fi lamu ambao wamekuwa wakimbeza na kumkejeli kutokana na kujikondesha kwake.

Pakua App ya 'EDUSPOTSTZ (LITE VERSION)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Wema aliyasema hayo baada ya mwigizaji wa filamu na mchekeshaji mwenzake, kuandika maneno ambayo alihisi kumlenga yeye, hivyo akaamua kumjibu kupitia mtandao huo wa kijamii kwamba si kila kitu ni utani.

Aliongeza kwa kusema kwamba hajapenda utani ambao amekuwa akifanyiwa kwa kuwa kila kitu si utani na kama angekuwa na mamlaka yoyote angeweza kumuweka ndani msanii huyo.

“Sijapenda na si kila kitu ni utani, ningekuwa na mamlaka ningekuweka ndani,” alisema. Mwigizaji huyo amekuwa akiingia kwenye changamoto ya kuongelewa vibaya tangu alipoamua kujikondesha.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.