Venezuela kushiriki jaribo la chanjo ya COVID-19 ya Urusi - EDUSPORTSTZ

Latest

Venezuela kushiriki jaribo la chanjo ya COVID-19 ya UrusiVenezuela imesema itashiriki katika awamu ya 3 ya majaribio ya chanjo ya Urusi ya Sputnik V dhidi ya virusi vya corona, kulingana na taarifa za jana za Makamu wa Rais Delcy Rodriguez. 

Waziri wa Afya wa Venezuela Carlos Alvarado amesema takriban raia 2,000 wa Venezuela watashiriki katika majaribio hayo ya chanjo ambayo yataanza mwezi huu, katika mji mkuu wa Caracas. 

Uhusiano wa Venezuela na Urusi umekuwa wa karibu zadi hivi karibuni, baada ya taifa hilo la Amerika Kusini kuwekewa vikwazo na Marekani, pamoja na mataifa mengine kadhaa kumuunga mkono kiongozi wa upinzani Juan Guido. Venezuela hadi hivi sasa imethibitisha maambukizi 76,000 ya virusi vya corona pamoja na vifo 635, ingawa inadaiwa idadi za kweli ni kubwa kuliko zilizotangazwa na serikali.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz