-->

Type something and hit enter

OnBodi ya Ligi Tanzania Bara (TPLB) imetoa ratiba mpya ya mzunguuko wa sita, saba na nane, kufuatia mizunguuko hiyo kuingiliana na kalenda ya michezo ya kimataifa ambayo ipo chini ya Shirikisho la kandanda barani Afrika *CAF* na lile la Dunia FIFA.

Pakua App ya 'EDUSPOTSTZ (LITE VERSION)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Bodi ya Ligi imelazimika kufanya mabadiliko hayo, ikiwa ni pamoja na mchezo wa Young Africans na Simba SC ambao umesongezwa mbele hadi Novemba 07, badala ya Oktoba 18.


 

Click to comment
 
Blog Meets Brand